- Mtaa wa kwanza kabisa duniani kuangazwa taa za umeme umeme (electric bulbs) ulikuwa ni mtaa wa Mosley, Newcastle mwaka 1879.
- Vifaa vinne vya nyumbani vya kwanza kabisa kutumia umeme ni Cherehani, feni, birika na mashine ya kukorogea mayai.
JE WAJUA?
Tags:
0 comments: