- Usipunguze matawi ya miti yaliyo karibu na nyaya au nguzo za umeme isipokuwa umetoa taarifa TANESCO ambao watakupa ushauri na hatua nzuri za kufuata kabla ya kufanya hivyo.
- Usijaribu kugusa au kushika waya wowote usiojua kazi yake ambao umeanguka au umekatika.
- Mwanga mdogo kwenye taa zako au taa kuzima na kuwaka au circuit breaker kuzima mara kwa mara ama kuungua kwa fuse mara nyingi ni dalili/alama ya onyo ya wiring ya jengo lako isiyokidhi viwango.
TIPS
Tags:
0 comments: