Kuna mambo mengi ya kuzingatia unaponunua taa ya umeme kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Nimekuorodheshea mambo machache sana ya kuzingatia, ambayo yatakuongoza kupata taa unayoitaka na itakayofaa;
2. Umbo lake
5. Utambulisho wa ubora
6. Uwingi wa masaa ya kuwaka kabla haijafa
7. Mahali ilipotengenezwa
8. Mwaka taa ilipotengenezwa
9. Ikiwa inazalisha joto au haizalishi
10. Ikiwa ufungwaji wake unaelekeana na mahali unapoenda kuifunga.



0 comments: